|
Advanced search
Previous page
|
Title
Mara tena juu ya usarufishaji (suala la mwana) |
Full text
http://nbn-resolving.de/urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-98181; http://www.qucosa.de/fileadmin/data/qucosa/documents/9818/8_06_gromova.pdf |
Date
2012 |
Author(s)
Gromova, Nelli V. |
Contributor(s)
Moscow State Lomonosov University, Institute of Asian and African Studies; Universität zu Köln, Institut für Afrikanistik |
Abstract
Dhana ya usarufishaji, kama Kamusi ya Isimu na Lugha inavyoeleza, ni ubadilishaji wa neno huru ama mofimu huru yenye maana ya kisemantiki na kuifanya mofimu funge na yenye maana ya kisarufi zaidi. Tunaposema kuhusu usarufishaji, mara nyingi tunamaanisha hasa ubadilishaji wa neno huru liwe mofimu. Miongoni mwa aina zote za maneno, ambazo zinaweza kusarufishwa, zile zinazotumika mara nyingi zaidi ni nomino na vitenzi. Ningetaka kujibu swali juu ya kazi ya kisarufi ya leksimu mwana: baada ya kuzichunguza maana zake za kisarufi inawezekana kutilia mkazo kwamba katika lugha ya Kiswahili tunashuhudia mwanzo wa kuibadilisha nomino huru mwana iwe kiambishi awali cha uundaji wa maneno mapya yanayotaja watu mbalimbali kutokana na kazi, shughuli zao, kuwepo katika vyama n.k. Inawezekana kwamba maneno ambatani yanayoanzia na mwana yanaunda ngeli maalum ya nomino (sawa na ngeli ya 1a/2a ya lugha nyingine za Kibantu). |
Subject(s)
Swahili; Grammatik; zusammengesetzte Substantive; Linguistik; Swahili; grammar; compound nouns; linguistics; ddc:496; Swahili; Grammatik; Linguistik |
Language
swh |
Publisher
Universitätsbibliothek Leipzig |
Type of publication
doc-type:article |
Format
application/pdf |
Source
Swahili Forum; 8(2001), S. 59-65 |
Identifier
urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-98181 |
Repository
Dresden - Hochschulschriftenserver
|
Added to C-A: 2013-12-04;14:36:19 |
© Connecting-Africa 2004-2024 | Last update: Friday, March 8, 2024 |
Webmaster
|