|
Advanced search
Previous page
|
Title
Habari za miti na mitishamba miongoni mwa Wamijikenda na Waswahili-matokeo ya kwanza kutoka utafiti |
Full text
http://nbn-resolving.de/urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-98191; http://www.qucosa.de/fileadmin/data/qucosa/documents/9819/8_16_schulz.pdf |
Date
2012 |
Author(s)
Schulz-Burgdorf, Ulrich |
Contributor(s)
Universität Bayreuth, Institut für Afrikastudien; Universität zu Köln, Institut für Afrikanistik |
Abstract
Utafiti ambao ni msingi wa habari hizo umefanywa katika miezi za Oktoba mpaka Disemba 2000 katika wilaya wa Kwale na Kilifi huko nchi ya Kenya. Wanachama wa timu ya utafiti wetu walikuwa Prof. F. Rottland, ambaye aliweka taratibu msamiati wa miti uliokusanywa, na Bw. Mohamed Pakia ambaye ni mwanabiolojia na aliyehojiana wanafunzi wa shule ya sekondari kuhusu ujuzi wa miti na mitishamba wao. Bw. Pakia ameshafanya kazi katika Coastal Forest Conservation Unit, yaani watu ambao husaidia wazee wa kimijikenda katika kuhifadhi misitu mitakatifu inayoitwa \"makaya\" na inatumiwa kwa matambiko na kama makaburi. Bw. Pakia ametambua: Ni hatari ya kupoteza ujuzi wa miti na mitishamba iliyotumiwa nanma ya kimila miongoni mwa wanafunzi wa shule ya sekondari: vijana hawajui matumizi ya mimea na pia wamepotea moyo wa kutaka kujua mambo hayo. Katika habari zifuatazo ninatoa mifano ya ule ujuzi wa watu wazima na wazee. |
Subject(s)
Swahili; Mijikenda; Heilkräute; Biodiversität; Pflanzenvokabular; Swahili; Mijikenda; healing herbs; biodiversity; plant vocabulary; ddc:496; Swahili; Heilpflanzen; Biodiversität; Wortschatz |
Language
swh |
Publisher
Universitätsbibliothek Leipzig |
Type of publication
doc-type:article |
Format
application/pdf |
Source
Swahili Forum; 8(2001), S. 201-203 |
Identifier
urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-98191 |
Repository
Dresden - Hochschulschriftenserver
|
Added to C-A: 2013-12-04;14:36:19 |
© Connecting-Africa 2004-2024 | Last update: Friday, March 8, 2024 |
Webmaster
|