|
Advanced search
Previous page
|
Title
Vitendawili vya Kiswahili: usambamba wake na dhima yake katika jamii |
Full text
http://nbn-resolving.de/urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-98312; http://www.qucosa.de/fileadmin/data/qucosa/documents/9831/12_10_Ngonyani.pdf |
Date
2012 |
Author(s)
Ngonyani, Deo |
Contributor(s)
Michigan State University, Department of Linguistics and Germanic, Slavic, Asian and African Languages; Universität Mainz, Insitut für Ethnologie und Afrikastudien |
Abstract
Vitendawili vya Kiswahili, kama vitendawili katika lugha nyingine za Kibantu, na kwa hakika katika lugha nyingine za Kiafrika, ni mafumbo ambayo hutolewa kama kauli au swali linalotaka jibu (Gowlett 1979; Harries 1971, 1976; Okpewho 1992). Vitendawili katika Kiswahili ni sehemu muhimu sana ya michezo ya watoto. Katika jamii ambazo bado zinaishi maisha ya jadi, watoto hukaa pamoja jioni pengine wakiwa na dada zao, kaka zao, na binamu zao wakasimuliana hadithi na kutegana vitendawili. Makala hii inachunguza muundo wa visabiki vya vitendawili vya Kiswahili na kutokana na mchangamano wa muundo tunapendekeza kwamba vitendawili ni njia kuu ya kufundisha watoto ufasaha wa lugha. Ukichunguza usambamba katika vitendawili utaona changamoto kubwa hutolewa kwa mtegaji na wasikilizaji wake kutokana na usambamba ulioko katika sintaksia, fonolojia, kadhalika sitiari. Kama Scheub (2002:124) asemavyo: «Vitendawili ni modeli kwa ajili sanaa za lugha». |
Subject(s)
Swahili; Rätsel; Sprechkunst; Gesellschaft; Swahili; riddles; enigma; society; ddc:496; Swahili; Rätsel; Sprechkunst; Gesellschaft |
Language
swh |
Publisher
Universitätsbibliothek Leipzig |
Type of publication
doc-type:article |
Format
application/pdf |
Source
Swahili Forum; 12(2005), S. 121-132 |
Identifier
urn:nbn:de:bsz:15-qucosa-98312 |
Repository
Dresden - Hochschulschriftenserver
|
Added to C-A: 2013-12-04;14:36:19 |
© Connecting-Africa 2004-2024 | Last update: Friday, March 8, 2024 |
Webmaster
|